• Contact Us |
    • MMM |
    • Staff Mail |
    • Compaints |
Mtama District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mtama District Council

  • Home
  • About Us
    • Hi
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Works and Fire Rescue
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Finance and Trade
      • Water
      • Community Development and Social Walfare
      • Agriculture,Irrigation and Cooperatives
      • land and natural Resources
      • Heaith
      • Administration and Human Resource Management
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and supply
  • Investment
    • Industries
    • Agriculture
    • Tourism
    • Fisheries
    • Minerals
  • Services
    • Health Services
    • Agriculture
    • Education
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Councillors
    • List of District councilors
    • Permanet Committees of the Councils
    • Time table
  • Projects
    • Completed Project
    • On going Projects
    • Expected Projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Forms
    • Reports
  • Media Center
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

WATUMISHI MTAMA DC WATAKIWA KUONGEZA KASI YA KIUENDAJI 2022

Posted on: January 16th, 2022


Rai hiyo imetolewa  na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga kwenye hotuba yake tarehe 15, Januari, 2022 alipokuwa katika sherehe maalumu ya kuaga mwaka 2021 na kukaribisha mwaka 2022 iliyofanyika katika Kata ya Nyangao ambapo amesema kuwa ili kuhakikisha Halmashauri ya Mtama inakuwa na mabadiliko ya kimaendeleo ni lazima watumishi waongeze kasi ya kiutendaji hususani katika usimamiaji na utekelezaji wa majukumu yao.

Aidha Ndemanga amewataka Madiwani kufanya kazi kwa ushirikiano kwenye Kata zao huku akiwaomba Wakurugenzi kutoka Wilaya nyingine walioalikwa kwenye sherehe hiyo kufanya kazi kwa pamoja ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji na kwamba kwa kufanya hivyo kutasaidia kuinua kiwango cha maendeleo Mkoa wa Lindi.    

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg. George Mbilinyi alimshukuru Mungu kwa kuvuka salama 2021 lakini pia amemshukuru Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassani kwa kupeleka fedha Tsh Bill.19 kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo sekta ya afya, elimu, maji pamoja na barabara. Aidha alichukua fursa hiyo kumpongeza Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye kwa kupata uteuzi huo lakini pia amekuwa chachu ya kusukuma maendeleo katika Halmashauri hiyo.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassani Ngoma alipata nafasi ya kutoa salamu za mwaka mpya ambapo alimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Mtama kwa kuandaa tukio hilo huku akiahidi kutoa ushirikiano na Wilaya ya Lindi katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo.

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi ambaye alikuwa Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea, Ruangwa, pamoja na Manispaa ya Lindi. Lakini pia wawakilishi kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo za Benki ikiwemo NMB, CRDB.

Announcements

  • JOINING INSTRUCTIONS December 14, 2020
  • MNADA WA KOROSHO 2021 October 16, 2021
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021 October 30, 2021
  • Athali za Upungufu wa Madini joto Mwilini April 10, 2018
  • View All

Latest News

  • "TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO"

    March 18, 2022
  • UZINDUZI ANWANI ZA MAKAZI

    March 15, 2022
  • DED MTAMA ASISITIZA UWAJIBIKAJI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI CHIPONDA

    March 14, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    March 08, 2022
  • View All

Video

GIRLS GUIDE LISHE BORA
More video

Quick Links

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Related Links

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Box 328 Lindi

    Postal Address: 328 Lindi Dc

    Telephone: 0222061

    Mobile:

    Email: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.