• Contact Us |
    • MMM |
    • Staff Mail |
    • Compaints |
Mtama District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mtama District Council

  • Home
  • About Us
    • Hi
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Works and Fire Rescue
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Finance and Trade
      • Water
      • Community Development and Social Walfare
      • Agriculture,Irrigation and Cooperatives
      • land and natural Resources
      • Heaith
      • Administration and Human Resource Management
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and supply
  • Investment
    • Industries
    • Agriculture
    • Tourism
    • Fisheries
    • Minerals
  • Services
    • Health Services
    • Agriculture
    • Education
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Councillors
    • List of District councilors
    • Permanet Committees of the Councils
    • Time table
  • Projects
    • Completed Project
    • On going Projects
    • Expected Projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Forms
    • Reports
  • Media Center
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

Administration and Human Resource Management

Majukumu ya Idara ya Utawala na Raslimali Watu

  • Kuandaa na kuwasilisha kwenye Mamlaka lengwa Ikama na  bajeti ya  watumishi   wa  Halmashauri (PE
  • Kuandaa na kuwasilisha kwenye Mamlaka lengwa bajeti ya matumizi mengineyo ya utumishi na utawala
  • Kuandaa malipo mbalimbali ya watumishi na watoa huduma kwa mujibu wa sheria na kanuni za fedha.
  • Kusimamia nidhamu kwa watumishi wa umma ili wazingatie mwenendo wa kimaadili na uadilifu katika utumishi wa umma
  • Kusimamia utendaji kazi wa WEOs na VEOs, wasaidizi watunza kumbukumbu, wasaidizi wa ofisi, madereva na makatibu mahsusi.
  • Kutoa maelekezo, tafsiri/ufafanuzi wa Sheria, Kanuni za Utumishi wa Umma kwa Watumishi wote katika Halmashauri.
  • Kuandaa/kuhuisha tange na kuwasilisha   mamlaka lengwa pamoja na kuitumia katika upandishwaji vyeo
  • Kushughulikia vibali, ajira, mikataba, upandishwaji vyeo na kuthibitisha watumishi.
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa mbalimbali za utekelezaji za utumishi na utawala (CBG,  TUU, Rushwa na utawala bora)
  • Kuratibu upimaji wa utendaji kazi kwa watumishi wote na kutoa taarifa kila robo mwaka na nusu mwaka  (OPRAS)
  • Kuandaa na kuwasilisha kwenye Mamlaka husika taarifa ya utelezaji wa   Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za usafiri na usafishaji kwenye idara na masuala ya utawala.
  • Kushughulikia stahili mbalimbali za watumishi (likizo, matibabu, mazishi, mafao, ruhusa na usafiri). 
  • Kuratibu utekelezaji wa vikao vya kisheria ngazi ya makao makuu, Kata, Vijiji na vitongoji na baraza la wafanyakazi.
  • Kushughulikia uingizaji na marekebisho mbalimbali ya watumishi kwenye mfumo shirikishi wa taarifa za kiutumishi na mishahara.
  • Kuratibu shughuli za uchaguzi ngazi ya Vijiji na vitongoji na uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani
  • Kuratibu nyumba za Halmashauri ngazi ya makao makuu, Kata na vijiji.
  • Kuratibu kero mbalimbali zinazojitokeza na kushughulikia kiidara na kutoa taarifa ya utekelezaji kila robo mwaka.
  • Kusimamia mafunzo ya watumishi ya muda mfupi na mrefu kulingana na mahitaji ya mafunzo na mpango wa mafunzo
  • Kuratibu mafunzo kazini kwa watumishi ngazi ya wilaya na idara.
  • Kuratibu ziara za viongozi ngazi ya Wilaya, Mkoa, Wizara  na Taifa.
  • Kusimamia matumizi salama ya nyaraka za serikali na vifaa vya ofizi kwa mujibu wa sheria na kanuni.
  • Kuagiza vifaa na huduma  mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa mujibu wa bajeti.
  • Kuratibu sherehe na matamasha mbalimbali ya kitaifa, kimkoa na wilaya kwa mujibu wa ratiba
  • Kusimamia mawasiliano ya kiofisi kwa ngazi zote za kiutendaji ndani ya wilaya na nje ya wilaya.
  • Kuwa Katibu wa vikao vya menejimneti na kamati ya maadili ya madiwani, kamati ya watumishi, Katibu wa Bodi ya Ajira

Announcements

  • JOINING INSTRUCTIONS December 14, 2020
  • MNADA WA KOROSHO 2021 October 16, 2021
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021 October 30, 2021
  • Athali za Upungufu wa Madini joto Mwilini April 10, 2018
  • View All

Latest News

  • "TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO"

    March 18, 2022
  • UZINDUZI ANWANI ZA MAKAZI

    March 15, 2022
  • DED MTAMA ASISITIZA UWAJIBIKAJI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI CHIPONDA

    March 14, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    March 08, 2022
  • View All

Video

GIRLS GUIDE LISHE BORA
More video

Quick Links

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Related Links

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Box 328 Lindi

    Postal Address: 328 Lindi Dc

    Telephone: 0222061

    Mobile:

    Email: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.