• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

Uzinduzi wa Zoezi la utoaji wa Chanjo ya Saratani ya kizazi

Posted on: April 23rd, 2018

Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey W. Zambi, amezindua rasmi zoezi la utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi,  leo hii, kwa wasichana wenye umri wa miaka 14 Katika sherehe iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Lindi.

Miongoni wa waliohudhuria walikua ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Lindi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Lindi, katibu tawala wa Wilaya pamoja na katibu tawala wa Mkoa. Wengine waliohudhuria ni watumishi mbali mbali na wanafunzi ambao pia walipatiwa chanjo katika uzinduzi huo.

Wakizungumza katika nyakati tofauti tofauti katika uzinduzi huo Mstahiki Meya wa Manispaa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi waliwaasa wanafunzi hao kuwa kupewa chanjo hii haina maana kuwa wamepewa ruhusa yakufanya yale ambayo wamekatazwa.

Aidha mkuu wa mkoa katika kukazia hilo alisema kuwa hawapaswi kujihusisha na vitendo vya ngono maana madhara yake ni makubwa “madhara ya ngono ni makubwa, kuna ukimwi pamoja na mimba. Na chanjo hii ni kwa ajili ya saratani ya mlango wa kizazi na si hayo mengine”

Pia wanafunzi wliohudhuria uzinduzi huo waliombwa kwenda kuwa mabolizi wazuri kwa wenzao juu ya zoezi hili linaloendelea.

Zoezi hilo ambalo lilikuwa limeshaanza siku tano zilizopita, leo lilikuwa linazinduliwa rasmi. Zoezi hilo ambalo limefadhiliwa na WHO  limewalenga mabinti wa kuanzia miaka 9 hadi 14, Japo chanjo imeanza kwa kutolewa kwa masichana wenye miaka 14

Mratibu wa zoezi hilo alisema “hii sio kampeni bali ni zoezi endelevu”.

Saratani ya mlango wa kizazi ni ugonjwa hatari na unaouwa wanawake wengi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania. Ugonjwa huu unasababishwa na vijidudu vijulikanavyo kitaalamu kwa jina la Human papilloma virus (HPV) na huambukizwa kwa njia ya ngono kutoka kwa mtu mwenye virusi hivyo. Tafiti zinaonyesha kuwa katika kila wanawake wanne wanaoshiriki ngono watatu wanapata maambukizi ya HPV na kwa wasichana wenye umri mdogo  uwezekano wa kupata maambukizi hayo ni mkubwa zaidi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA LISHE YAFANYA KIKAO CHA TATHMINIYA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU HALMASHAURI YA MTAMA

    June 04, 2025
  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.7 YAPITIWA NA MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MTAMA

    May 27, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.