• Contact Us |
    • MMM |
    • Staff Mail |
    • Compaints |
Mtama District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mtama District Council

  • Home
  • About Us
    • Hi
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Works and Fire Rescue
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Finance and Trade
      • Water
      • Community Development and Social Walfare
      • Agriculture,Irrigation and Cooperatives
      • land and natural Resources
      • Heaith
      • Administration and Human Resource Management
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and supply
  • Investment
    • Industries
    • Agriculture
    • Tourism
    • Fisheries
    • Minerals
  • Services
    • Health Services
    • Agriculture
    • Education
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Councillors
    • List of District councilors
    • Permanet Committees of the Councils
    • Time table
  • Projects
    • Completed Project
    • On going Projects
    • Expected Projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Forms
    • Reports
  • Media Center
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

"TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO"

Posted on: March 18th, 2022

Maelekezo hayo yametolewa Machi 17, 2022 na Katibu Tawala wilaya ya Lindi Mh. Mbwana Rajabu Kambangwa kwenye kikao kazi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama ambapo aliwataka wakuu wa Idara kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha.

Katibu Tawala alitoa maelekezo kwa mweka hazina wa Halmashauri CPA Asha Msangi kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa fedha kwa kushirikiana na Mkurugenzi ili kuinua mapato yatakayosaidia kuendesha shughuli mbalimbali.

Aidha alitoa msisitizo kwa maafisa utumishi kujenga mahusiano mazuri na watumishi wao, kuwatumia ipasavyo Maafisa Tarafa kwenye majukumu mengine kwani wao ni viunganishi vya Serikali Kuu na Serikali za Mitaa.  Lakini pia ametoa maelekezo kwa Afisa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na walemavu inarejeshwa kwa wakati.

Kwa hatua nyingine Mh. Kambangwa alitoa maagizo kuhusiana na utunzaji bora wa dawa katika vituo vya kutolea huduma lakini pia kuwa na ushirikiano na wananchi kwa kuwajibika pamoja na  kutoa hufuma bora katika jamii.

Akizungumza kwa niaba ya watumishi wote Ndg. Alfonse Ngongi alimshukuru Katibu Tawala huo kwa kutenga muda na kuahidi kuwa maelekezo yake yatatekelezwa ipasavyo.

Katibu Tawala aliitisha kikao hicho kwa lengo la kujitambulisha, kuwafahamu watumishi pamoja na kutoa maelekezo hayo.

Announcements

  • JOINING INSTRUCTIONS December 14, 2020
  • MNADA WA KOROSHO 2021 October 16, 2021
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021 October 30, 2021
  • Athali za Upungufu wa Madini joto Mwilini April 10, 2018
  • View All

Latest News

  • "TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO"

    March 18, 2022
  • UZINDUZI ANWANI ZA MAKAZI

    March 15, 2022
  • DED MTAMA ASISITIZA UWAJIBIKAJI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI CHIPONDA

    March 14, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    March 08, 2022
  • View All

Video

GIRLS GUIDE LISHE BORA
More video

Quick Links

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Related Links

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Box 328 Lindi

    Postal Address: 328 Lindi Dc

    Telephone: 0222061

    Mobile:

    Email: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.