• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

Furaha na Nderemo yatawala Mikoa ya Lindi na Mtwara

Posted on: May 21st, 2018

Waziri Mkuu wa Tanzania mh Kasim Majaliwa  Majaliwa jana amezindua mradi wa uunganishwaji wa umeme katika gridi ya taifa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara na kuagiza kuunganisha umeme huo katika Taasisi zote za umma

Akizungumza na baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara waliohudhuria hafla hiyo mara baada ya uzinduzi  Majaliwa  alisema kuwa uunganishaji wa mikoa hiyo katika Gridi ya Taifa sasa kutaifanya mikoa hiyo kuwa na umeme wa uhakika sambamba na kufunguka kiuchumi

Alisema serikali imedhamilia kumaliza kabisa tatizo la umeme kwa nchi mzima na kwamba mkakati uliopo kwa sasa ni kuendelea kuboresha miundombinu ya zamani  sambamba na kuanzisha miradi mipya ya kufua umeme

Alisema sasa tatizo la kukatika kwa umeme kwa mikoa hiyo mara kwa mara litakuwa limemalizika kwani baada ya kuungaanisha mikoa hiyo sasa itakuwa inatumia zaidi ya njia tatu yaani  kama njia moja itapata itilafu njia nyingine itaweza kusaidia

“nlipoingia hapo ndani wataalamu wameniambia kuwa  umeme huo kwa sasa wameuweka kwenye njia ambazo kama njia moja ikipata tatizo njia nyingine itaweza kutatua tatizo na umeme hutaweza kukosekana  kama njia moja Haitakuwa kuwa na tatizo hiyo ni wajibu wa kila Mwananchi kufurahia umeme huu

Aidha Majaliwa pia aliwahasa wananchi wa Mikoa ya Lindi na Mtwara kuutumia umeme huo katika shughuli za kiuchumi kama vile kuanzisha viwanda vidogo vidogo ili waweze kujiongezea kipato

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA LISHE YAFANYA KIKAO CHA TATHMINIYA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU HALMASHAURI YA MTAMA

    June 04, 2025
  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.7 YAPITIWA NA MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MTAMA

    May 27, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.