• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

Mwenge wa Uhuru waja na neema Kiwanda kikubwa cha Kuchakata Mihogo Kujengwa Wilayani Lindi

Posted on: June 20th, 2018

Mwenge wa Uhuru ulipokelewa katika Kata ya Madangwa iliyopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tarehe 20/06/2018 ukitokea katika mkoa wa Mtwara  na ulitembezwa katika Miradi 7 na moja ya miradi iliyotembelewa  na kuzinduliwa ni Mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata Mihogo cha CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATIVE LIMITED  ambacho kitajengwa katika kijiji cha Mbalala, kata ya Majengo, Halmashauri ya wilaya ya Lindi.

Mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Kiwanda hichi cha kuchakata Mihogo jumla ya vijana zaidi ya 200 wanatarajiwa kuajiliwa katika kiwanda hiki  cha CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATIVE LIMITED hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa utawala na Rasilimali watu ndugu Knowles Lumambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kuzindua ujenzi wa Kiwanda hicho cha uchakatuaji wa Mihogo. Pia ndg Knowles Lumambi (Meneja rsilimali watu) aliongezea katika kuunda mikono jitihada za Raisi wa awamu ya tano Mhe Joseph Pombe  Magufuli ya kufikisha nchi katika uchumi wa kati

Tumejipanga katika ujenzi wa viwanda viwili ambavyo kutakuwa na Viwanda vya unga wa muhogo na Wanga,lakini kwa sasa tutaanza na ujenzi wa kiwanda cha unga wa Muhogo ambao unatajia kugharimu kiasi cha dola za Marekani million nne na matayarisho ya eneo la ujenzi tayari yamekwishafanyika na zoezi la kumpata mkandarasi limekamilika,Kiwanda kinatarajiwa kuanza uzalishaji wake November 2018 mwaka huu.

Mkimbiza Mwenge Kitaifa ndg Charles Kabeho mara baada ya kuzunguka maeneo hayo ya uwekezaji ya ujenzi wa kiwanda hicho alimpongeza mwekezaji wa kiwanda hicho kwa kuunga mkono jitihada za serikali kwa mpango wa utekelezaji wa sera ya viwanda na pia alimwagiza Mkuu wa wilaya ya Lindi Ndg Shaibu Ndemanga kuharakisha Wananchi sita(6) kulipwa fidia ya maeneo yao yaliyochukuliwa na Kiwanda na Mkuu wa Wilaya aliahidi kushughulikia fidia hiyo ndani ya Mwezi mmoja na ifikapo tarehe 20/07/2018 wananchi wote watakuwa washalipwa fidia zao.

Mwaka 2018 kauli kuu ya  mbiu ya mwenge wa uhuru ni  " Elimu ni ufunguo wa maisha wekeza sasa kwa maendeleo ya Taifa letu".


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA LISHE YAFANYA KIKAO CHA TATHMINIYA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU HALMASHAURI YA MTAMA

    June 04, 2025
  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.7 YAPITIWA NA MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MTAMA

    May 27, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.