• Contact Us |
    • MMM |
    • Staff Mail |
    • Compaints |
Mtama District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mtama District Council

  • Home
  • About Us
    • Hi
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Works and Fire Rescue
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Finance and Trade
      • Water
      • Community Development and Social Walfare
      • Agriculture,Irrigation and Cooperatives
      • land and natural Resources
      • Heaith
      • Administration and Human Resource Management
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and supply
  • Investment
    • Industries
    • Agriculture
    • Tourism
    • Fisheries
    • Minerals
  • Services
    • Health Services
    • Agriculture
    • Education
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Councillors
    • List of District councilors
    • Permanet Committees of the Councils
    • Time table
  • Projects
    • Completed Project
    • On going Projects
    • Expected Projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Forms
    • Reports
  • Media Center
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

DED MTAMA DC AKUTANA NA WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Posted on: January 16th, 2022


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg. George Mbilinyi amekutana na wakuu wa shule za msingi na sekondari pamoja na Maafisa Elimu Kata kwenye kikao kazi (Mkutano wa Maabara ya Elimu) kilicholenga kupeana mikakati ya kuinua sekta ya Elimu hususani suala la ufaulu wa wanafunzi katika Halmashauri hiyo.

Kupitia kikao hicho Mkurugenzi aliwapongeza Maafisa Elimu wa Wilaya kwa kuandaa mkutano huo huku akitoa msisitizo kwa walimu pamoja na Maafisa Elimu Kata kuandaa vikao kwenye maeneo yao ya kazi na kuwasilisha maagizo na mikakati iliyotolewa kwenye mkutano huo.

Aidha amewataka viongozi hao kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wanatakiwa kujitoa katika utekelezaji wa majukumu yao  ikiwa ni pamoja na usimamizi wa miradi mbalimbali na utoaji wa huduma bora kwa jamii kwa lengo la kuinua ubora na kiwango cha ufaulu kwa mwaka 2022 ndani ya Halmashauri hiyo.


Baadhi ya mikakati ya kuinua kiwango cha ufaulu Mtama;-

- Kufanya ufuatiliaji wa ufundishaji na ujifunzaji kwa shule za msingi na sekondari

- Kusimamia kufikia malengo ya ufaulu ya 95% kwa darasa VII, 100% IV na kidato cha II,IV kwa daraja I-III la ufaulu na daraja I,II kwa kidato cha  VI.

- Kukamilisha mada kwa wakati.

- Kuunda kamati ya KKK ya Wilaya

- Kufanya mashindano ya KKK

- Kutoa mafunzo ya KKK (Kata, Wilaya na Taasisi nyingine

Announcements

  • JOINING INSTRUCTIONS December 14, 2020
  • MNADA WA KOROSHO 2021 October 16, 2021
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021 October 30, 2021
  • Athali za Upungufu wa Madini joto Mwilini April 10, 2018
  • View All

Latest News

  • "TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO"

    March 18, 2022
  • UZINDUZI ANWANI ZA MAKAZI

    March 15, 2022
  • DED MTAMA ASISITIZA UWAJIBIKAJI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI CHIPONDA

    March 14, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    March 08, 2022
  • View All

Video

GIRLS GUIDE LISHE BORA
More video

Quick Links

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Related Links

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Box 328 Lindi

    Postal Address: 328 Lindi Dc

    Telephone: 0222061

    Mobile:

    Email: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.